Be the first to rate this video
This song by Wanavokali was released on 22nd July 2021
My love.
I want you
My love,
I need you
Every time,
I see you
(Inadi club)
Every time,
I see you
(You light it up!)
Naomba nafasi mi nicheze na we
Njoo karibu, usinicheki toka mbali
Hatujuani, but tonight you could be my bae
Songa nami, hii form imekubali
Hata kama ni mara ya kwanza sisi kuonana
Usiogope nipe macho yako
Ana kwa ana
Ana kwa ana
Ngoma zalia na mi nataka kucheza
Kucha kutwa, nishazoea kesha
Sakata Rhumba
Achilia pressure
Tutacheza hata kama hatuna pesa
Ngoma zalia na mi nataka kucheza
Kucha kutwa, nishazoea kesha
Sakata Rhumba
Achilia pressure
Hatujui kama tutaonana tena
Napenda unavyong'aa kama taa
Hapa we ndio star
You've got me feeling things that I can't explain
Tu vitu, Ma vitu
I think I'm falling for you just a little
Hata kama ni mara ya kwanza sisi kuonana
Usiogope nipe macho yako
Ana kwa ana
Ana kwa ana
Ngoma zalia na mi nataka kucheza
Kucha kutwa, nishazoea kesha
Sakata Rhumba
Achilia pressure
Tutacheza hata kama hatuna pesa