Be the first to rate this video
This song by Nandy was released on 4th June 2021
(Kimambo on the beats)
Aiyayayaya
Aiyayayaya
Niko tuli babe
Kama maji kwa mtungi
Nyonga buli babe
Nivute niiishi nibaki kishungi
Aii zuri babe
Nibandike nigande ka gundi
Maakuli babe nilishe nishibe
Kitumbo ndindi
Aaaaiiii
Unanikoleza, unanichombeza
Unanilegeza ai wee
Ukianzaga ndani unayaweza kitandani
Kwenye meza sunami, jeneza ni wee
Nakupenda, nakuwaza
Forever you are my Boo
We nipendeee nikupendeee
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nime nimekuzoea
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nime nimekuzoea
Aiyaaa Yayaaa
Aiyaaa Yayaaa
Kazoea vyote, kazoea mpaka kazoea aaaahhhh
Kabobea kote, kubobea mpaka kabobea tena
Nalowea kote, nalowea mpaka nalowea aaahhh
Inakolea yote, inakolea tamu kukolea tena
Nipo katikati aiyayaaa
nazungukwa na upendo aiyayaaa
Sa natokea wapi? Aiyayaaa
Kaziba kote hajaacha pengo aiyayaaa
Wanafikaga wapi? Aiyayaaa
Peku bila sendo aiyayaaa
Na ufike saa ngapi aiyayaaa
Vyote tembea kwa wako mwendo aiyayaaa
Nakupenda, nakuwaza
Forever you are my Boo
We nipendeee nikupendeee
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nime nimekuzoea
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nime nimekuzoea