Be the first to rate this video
This song by Rayvanny was released on 10th September 2021
Uuuh Wanaweweseka hao, Wanaweweseka hao
Wenye wivu wasijinyonge, ila wapigwe shoti wafe
King’asti wangu yupo hapahapa, usinishike bega niache
Nakupa yote mumunya, utamu wa pipi mate
Baby kwa mapenzi upo chuo, hauko tena kindergarten
Marashi ya pemba amechanganya na tanga
Mtoto kama saida karoli
anavyochambua karanga na
Simuachi nampenda ye pete mi chanda
L O V E, I love you, kama kasimu mganga
Pressure inapanda, pressure inashuka
Wanaovimba, watapasuka
Nikikupost namba insta patachafuka
Watatamani ku hack waje kufuta
Hao le le le, Wanaweweseka hao
Wanakopa bundle, watuperuzi
Wanaweweseka hao
Mama nipe mambo tuwaudhi
Wanaweweseka hao
Basi cheka, cheka, ukideka deka mimi
Wanaweweseka hao
Negee eh, tausi my ngona
Dede eh, umbo kifusi nyuma kishindondi
Nikubebe eh, wenye na chuki wakate shingoni
Sitaki lede eh, nina bunduki, naweka lindo
Undongo gani, ulokufinyaga mwali weh
Mganga gani alopiga mayanga mwali we
Majungu si mtaji (ah ya ya)
Maneno si ya radi (ah ya ya)
Jasho linawatoka maji (Mmh, I love you daddy)
Marashi ya pemba amechanganya na tanga
Mtoto kama saida karoli
anavyochambua karanga na
Simuachi nampenda ye pete mi chanda
L O V E, I love you, kama kasimu mganga
Pressure inapanda, pressure inashuka
Wanaovimba, watapasuka
Nikikupost namba insta patachafuka
Watatamani ku hack waje kufuta
Hao le le le, Wanaweweseka hao
Wanakopa bundle, watuperuzi
Wanaweweseka hao
Mama nipe mambo tuwaudhi
Wanaweweseka hao
Basi cheka, cheka, ukideka deka mimi
Wanaweweseka hao