Be the first to rate this video
This song by Otile Brown was released on 3rd August 2021
Kama pumzi nakatakata
Kanipiga butwa twa twa
Hata na meno nang'ata
Hakika Ma ulivaa
Nashindwa hataa kuongea
Mungu fundi mwana kaumba
Utapendeza hata ukisuka shurma
Umenipiga K.O (Knockout)
Hiyo makeup K.O (Knockout)
Aaah
Umenipiga K.O (Knockout)
Nywele K.O (Knockout)
Aaah
TikTok
Ladies watoto kali mwajijua
Siri za mwanamke kuringa
Kama umevaa unapendeza nataka kuona shape
Short or long hair
Pretty pretty baby face
Hips lips kiss
Red wine taste
Police police tunadai kupewa kesi
Akikuangalia tu anaweza kutoa kadi ya benki
Macho vya kusinzia
Zile kuibia ibia
Utasema kila kitu alafu kimemzidia
Kama unataka kupanda mizuka kajiachia
Sarakasi imesambaa
Mateke ya sinzia
Nimekolea naye sishikiki na msichana
Kumwaga raha tena kacheza kainama
Ukuti ukuti kainuka kasimama
Nguo fupi lakini naona kama inambana
Kapochi chini kamejinafia tu
Msala ndio color nacheki hiyo figure cheki mantle
Kasema katatiza mtaani
Kachanganya watu
She is pretty and she knows what she wants too
Ukicompare we unatofauti
Darassa, Otile Brown is a Knockout
Umenipiga K.O (Knockout)
Hiyo makeup K.O (Knockout)
Aaah
Umenipiga K.O (Knockout)
Nywele K.O (Knockout)
Aaah
TikTok