Be the first to rate this video
This song by Otile Brown was released on 18th June 2021
Kunguru ata kalishwa nyumbani hato kaa
Katili huna nafsi huna huruma
Ata kwa ushaidi macho nilifumba
Sikuaka kuamini niliogopa itaniuma
Kwamba msaliti wewe
Kwa tamaa za muda mfupi
Penzi baharini umelitosa
Kawekeza muda mwingi
kumbe bure najichosha
Iweje wewe tuliojenga kwa juhudi umebomoa
Zile ndoto na mipango za kufunga ndoa
Jeraha
Subiri lipone bado naliuguza
Jeraha
Uchungu natamani ukome
Nipe likizo mwenzio
Jeraha
Subiri lipone bado naliuguza
Jeraha
Uchungu natamani ukome
Nipe likizo mwenzio
Niacheeee….
Wajua wakati mwingine najiuliza
Au pengine haya mapenzi yana wenyewe
Ama pengine mimi ndio sina bahati
Au pengine tu wangu ndio hajazaliwa
Maana kila ninapojitweka imani
Kila ninapoanza safari ya mapenzi
Meli inapong’oa nanga tu
Inageuka feri mtongwe
DAMN! SIAMINI!
After all, we have been through
How you sacrificed so much for so little
Kwamba msaliti wewe
Kwa tamaa za muda mfupi
Penzi baharini umelitosa
Kawekeza muda mwingi
kumbe bure najichosha
Iweje wewe tuliojenga kwa juhudi umebomoa
Zile ndoto na mipango za kufunga ndoa
Jeraha
Subiri lipone bado naliuguza
Jeraha
Uchungu natamani ukome
Nipe likizo mwenzio
Jeraha
Subiri lipone bado naliuguza
Jeraha
Uchungu natamani ukome
Nipe likizo mwenzio