Be the first to rate this video
This song by Otile Brown was released on 11th August 2021
Tatizo uzuri wako
Umekupanda kichwani mwako
Unaona hunihitaji
Wengi wanaokutaka wapo
Kutwa roho juju
Unatishia kuondoka kwako
Subutu ole wako
Olewaaakoo
Mapenzi amani ya moyoni
Ondoka kama hatuendani
Mimi sibishani na wewe
Ninapoteza imani
Laiti kama ungejua
Ungenipa tumaini tamaa nisikate
Kama haitokula kwako nami sijali
Elewa wapo madem wananitamani
Chunga mdomo wako tahadhari
Usijenirudishaaa kwa anasa za dunia
Liwalo na liweee
Liwalo na liweee
Liwalo na liweee
Liwalo na liweee
Liwalo na liweee
If you want to go, go
If you want to stay, stay
If you want to go, go
Tusirushane roho
Tena pengine tu kwa ndoto
Ukidhani ntakufatilia
Yamenifika hapa kwenye koo
Mdomoni yanakaribia
Mapenzi amani ya moyoni
Ondoka kama hatuendani
Mimi sibishani na wewe
Ninapoteza imani
Laiti kama ungejua
Ungenipa tumaini tamaa nisikate
Kama haitokula kwako nami sijali
Elewa wapo madem wananitamani
Chunga mdomo wako tahadhari
Usijenirudishaaa kwa anasa za dunia
Liwalo na liweee
Liwalo na liweee
Liwalo na liweee
Liwalo na liweee
Liwalo na liweee
If you want to go, go
If you want to stay, stay
If you want to go, go
Tusirushane roho