Be the first to rate this video
This song by Khaligraph Jones was released on 14th June 2021
Unajua niliwaambia hii shugli
Hii shugli mi nafanya sai
Hakuna-hakunangamambo ya kesho yaani
yaani uurgh,mi-mi aii rada
Rada ni ya,rada ni gani?
Kwani ni kesho?(Kwani ni kesho?)
Kwani ni kee....shoo?
Kwani ni kesho?(Haezi kuwa kesho)
(Big shout out on Vinc on the beat btw)
Kwani ni ke(Whoop)
1,2,3
Kwani ni kesho?(Kwani ni kesho?)
Kwani ni kesho?(Kwani ni kesho?)
Kwani ni kesho(Kwani ni kesho?)
Kwani ni kesho(Kwani ni kesho?)
Ntaifanya sai, Kwani ni kesho?
Na nimetoka far Eat utajuaje mi ni speacial(woo woo)
Mayolo to Nai,need no question
We ni mama kayai so funga hio lesso(puss puss)
Bro na mi vessel,ma naamini Yesu(Aii yeah)
Nadhani unameza kwani ni kesho?
Na vile unajigas utadhani ni meko
Na ka si madollar,I be earning ni pesas(Ching ching)
Swag ni shaggy,mdomo ni baggy(Mdomo baggy)
Najua hamnipendi(uugh kwenda) but heshimu kipaji
Mi ni kibaki,bobo ka kimathi
Usilipize kisasi utapigwa risasi
Na kwani ni kesho,usijifanye ka hujui
Shuguli ya leo,inafaa nimalize jo asubuhi
Na simu kama sio mboka,mi sichukui
Na Mungu naomba uzidi kunipa hawa maadui
So ka una shida si ubanje sai,kwani ni kesho
Na ka una deni we si ulipe kwani ni kesho
Si mlitaka clout mi nishawapea,kwani ni kesho
Kwani ni kesho,kwani ni kesho?
Kwani ni kesho?
Kwani ni keeeesho?(Kwani ni kesho?)
Kwani ni kesho?
Kwani ni kesho?Kwani ni kesho?
Kwani ni kesho?(Kwani ni kesho?)
Kwani ni kesho?(Kwani ni kesho?)
Kwani ni kesho(Kwani ni kesho?)
Kwani ni kesho(Kwani ni kesho?)
Yeah ey I'm blessed,am blessed trust me(O.G)
Young Jazz Harsh G
Kamlesh Patni,you can flex mbwakni
Hio slang ni yangu sai na najua niweboo
Na mkinirushia mawe mi huwa narespond na flow
Inakuwa mmenibebanga ndogo,Embakasi mi huitwa Kamotho
Tulianza na chipo za ngovo siku hizi keroma huleta na glovo
Mmekosa qualification na mnataka certification
Clout-chasing ndo kitu iko fashion
Na nyi wote bado ma new bie
Flow sigeuzi upende usipende,kwani ni kesho(Kwani ni kesho?)
Luku kasuku lakini ni safi kwani ni kesho(Kwani ni kesho?)
Jezi origi lakini natesa Kwani ni kesho (Kwani ni kesho?)
So we nichukie but mi nakafunga kwani ni kesho (kwani ni kesho?)
Kwani ni kesho?
Kwani ni keeeesho?(Kwani ni kesho?)
Kwani ni kesho?
Kwani ni kesho?Kwani ni kesho?
Kwani ni kesho?(Kwani ni kesho?)
Kwani ni kesho?(Kwani ni kesho?)
Kwani ni kesho(Kwani ni kesho?)
Kwani ni kesho(Kwani ni kesho?)