Usiku Mmoja (official Video) | View Profile

Rate this video

Ratings of Usiku Mmoja (official Video)

Be the first to rate this video

Analysis of Usiku Mmoja (official Video)

The edgy and daring Jovial, in collaboration with Darassa aka Mr. Burudani has translated the hook-up culture, which has become very common in the recent days in their hit, ‘Usiku Mmoja.’ She seductively allures him into a sexual rendezvous, which he rides along with, but he hints a warning of getting attached, which she brushes off, assuring him of some sense of control. A Kenya and Tanzania’s collaboration of massive rap games and enticing vocals; is more than just a one-night hit play.

This song by Jovial was released on 5th July 2021

Lyrics of Usiku Mmoja (official Video)

Mmmhh Vicky Pondis

Usiku mmoja nawe, Usiku mmoja nawe (The Baddest)

Usiku mmoja nawe, Usiku mmoja

Mi ndio Picha

Nasasambua tena bila kikomo

Naifinyia kwa ndani naicheketua

Mi napiga shift double-decker

Sina muda wa kudeka

Mapenzi yashanipiga chenga

Ukizengua mi nasepa

Mi napiga shift double decker

Sina muda wa kudeka

Mapenzi yashanipiga chenga

Ukizengua mi nasepa

Nataka usiku mmoja nawe

Nipekeche hadi che

Ila mapenzi nawe, oh aaah

Nataka usiku mmoja nawe

Nipekeche hadi che

Ila mapenzi nawe, oh aaah

Niko tepe kama chipsi zege

Usiku moja nawe

Nitembeze fimbo ya tutembe

Usiku moja nawe

Niko tepe kama chipsi zege

Usiku moja nawe

Nitembeze fimbo ya tutembe

Usiku moja nawe

Mi nataka usiku mmoja nawe, usiku mmoja nawe

Aii we, usiku mmoja nawe, usiku mmoja nawe

Mi nataka usiku mmoja nawe, usiku mmoja nawe

Oh daddy o hey, usiku mmoja nawe, usiku mmoja nawe

Mi nachekecha, nacheketua, nachekecha nacheketua

Mi nachekecha, nacheketua, nachekecha nacheketua

Mi nachekecha, nacheketua, nachekecha nacheketua

Mi nachekecha, nacheketua, nachekecha nacheketua

Wee, unataka kujaribu, jaribu vitu

Usijaribu dry itakubadilisha

Utafungua moyo mpaka madirisha

Nakuona kwenye macho unajitamanisha

She came for one night stand

Asubuhi amevaa langu apige stori za maisha

Ameomba kuonja kanogewa kawa ruda

Hataki kuondoka akiondoka anataka kuja

Amezoea fegi kakutana na mjuba

Kashamja msuba na mchanja buga

Anawashwa na puna, natoa kila huduma

Nafumua nafuma

Maneno namung’unya mung’unya naguna guna

She wanna take a shower

Kama kawa niko nyuma (Mr. Burudani)

Nataka usiku mmoja nawe

Nipekeche hadi che

Ila mapenzi nawe, oh aaah

Nataka usiku mmoja nawe

Nipekeche hadi che

Ila mapenzi nawe, oh aaah

Niko tepe kama chipsi zege

Usiku moja nawe

Nitembeze fimbo ya tutembe

Usiku moja nawe

Niko tepe kama chipsi zege

Usiku moja nawe

Nitembeze fimbo ya tutembe

Usiku moja nawe

Mi nataka usiku mmoja nawe, usiku mmoja nawe

Aii we, usiku mmoja nawe, usiku mmoja nawe

Mi nataka usiku mmoja nawe, usiku mmoja nawe

Oh daddy o hey, usiku mmoja nawe, usiku mmoja nawe

Mi nachekecha, nacheketua, nachekecha nacheketua

Mi nachekecha, nacheketua, nachekecha nacheketua

Mi nachekecha, nacheketua, nachekecha nacheketua

Mi nachekecha, nacheketua, nachekecha nacheketua

Sina Muda wa kudate

Nihonga tukaspend nikupigefusho bila band

Nikubebe tucheze na kitete

Hii ngoma sio ya uzembe

Sina muda wa kudate

Nihonga tukaspend nikupigefusho bila band

Nikubebe tucheze na kitete

Hii ngoma sio ya uzembe

(Take 5 now…)

Share this Page