Be the first to rate this video
This song by Harmonize was released on 18th January 2020
Imani nafsi inaniambia
Haukuwa fungi language
Nasidhani kama nilikosea
Kuukabidhi moyo wangu.
Ulinidanya mapenzi ni zuri basi.
Panda twende safari.
Bila kujua la kwako nimwendo basi.
Ghafla ukanipa ajali.
Upweke umetawala nafsi
Mwenzako usiku sijali
Ninahesabu mabati
Kisa wewe.
Sijuti moyo wangu
Kupenda nisipopendwa
Sirudii makosa yangu.
Ujinga wakati wa kwenda.
Kinachoniuma roho yangu ooh.
Kuwapa neno wahenga
Maana si kwa posti zangu
Na kujinadi nawapendwa.
Nishapona, nishapona
Nishapona ila mazoea
Basi nenda umwambie.
Nishapona!
oooh mwambie
Basi umwambie eeh
nishapona ila mazoea.
Heshima kunyenyekea
Nilivyomnyenyekea
Akaniona sichochote kwake
Mazima akanipotezea
Akanipotezea, alipomaliza shida zake.
Na bado siamini kweli ndo yule.
Alokuwa akisema, halali asiponiona.
Na kujilisha ya nini? Yote ni bure.
Nikamwita chanda chema alinidanganya.
Zile miziki za kunichombeza zinaniama roho.
Mara akinidekeza, elaji njoo.
Ungesema nilipoteleza, Ninamwomba koo.
Si vyema amenitelekeza mb kisadoo.
Basi nenda umwambie nishapona
oooh mwambie
Basi umwambie eeh
Nishapona ila mazoea
Nenda kamwambie naja
Nenda kamwambie naja
Basi nenda kamwambie naja
Nenda kamwambie naja.