Be the first to rate this video
This song by Harmonize was released on 11th May 2020
Hello, Hello baby mmmh mmmh.
Natamani niandike barua na nitume kwako.
Ila nahisi hutoisoma utaikataa.
Hata simu nitajisumbua,kupiga namba yako.
Maana hata ukiiona, utaikataa .
I wish yawe ndoto, Hata ninayo yapitia.
Ama nirudi utoto, imenisonga dunia.
Eti kurwa bila ndoto, hivi niwapi ntaanzia.
Kulia bila kushoto Sijawahi kusikia.
Imagine siwezi km kukuota Aaah, aah, aah.
Maana hata usingizi sina sinahaah.
Mwenzako wataniokota AAA; aah aah.
Maji yamenizidi kina ,mwenzenu mimi
Mpaka kesho.
Bado nakuwaza Mimi mpaka kesho.
Mateso nihurumie hehe Aaah.
Nisijaribu kudanganya nipoteze mawazo utu naheshima
Wenda nienjoy
Kumbe najivunia kwa watabibu wanganga.....