Be the first to rate this video
This song by Diamond Platnumz was released on 7th July 2014
[00:05.26]Intro!
[00:18.65]Nimetembea tembea bara na visiwani
[00:21.98]Ila nikajionea we ndio my number one
[00:24.81]Natamani nikupe ila sina
[00:28.03]Nimejaliwa upendo heshima
[00:31.25]Maneno yao matamu yasikuibe mama
[00:34.07]Si unajua binadamu wabaya sana
[00:37.24]Wanawivu hao (hao hao)
[00:40.25]Wachonganishi hao (hao hao)
[00:43.17]Wanawivu hao (hao hao)
[00:46.23]Wachonganishi hao (hao hao)
[00:49.98]Usije niacha kwa unyonge nachechemea
[00:52.84]Utamu wa finyango na tonge ukanielemea
[00:56.03]Usije niacha kwa Unyonge nachechemea
[00:59.05]Utamu wa finyango na tonge ukala kwangu
[01:03.41]Mwendaazimu kaingiaje
[01:05.20]Asije kitorondo
[01:06.75]Mwendaazimu kaingiaje
[01:08.17]Akanikatia na uhondo
[01:09.86]Mwendaazimu kaingiaje
[01:11.35]Kitorondo kitorondo eeh
[01:12.97]Mwendaazimu kaingiaje
[01:14.59]Ikinasa mpaka uondoe
[01:15.97]Mwendaazimu kaingiaje
[01:17.70]Oooh Kitorondo
[01:19.42]Mwendaazimu kaingiaje
[01:20.80]Akanikatia na uhondo
[01:22.35]Mwendaazimu kaingiaje
[01:23.65](Ikawa nyumba ya shetani)
[01:25.45]Mwendaazimu kaingiaje
[01:27.00]
[01:33.36]Kidogo nikileta Mumypti usinune
[01:36.91]Nikumbatie unikiss nijivune
[01:40.14]Kesho nizidishe ufanisi nijitumee
[01:43.30]Tujenge hadi nyumba Paris wanunee
[01:46.05]Vimichezomichezo vya saloon chunga wakipanga
[01:49.21]Wasije kukufunza vya uhuni ukawa unadanga
[01:52.67]Ukaanza safari
[01:54.16]Mchana jua kali
[01:55.89]Usiku haulali ayaah
[01:59.11]Ukaanza safari
[02:00.53]Mchana jua kali
[02:02.17]Usiku haulali ayaah
[02:04.93]Wanawivu hao (hao hao)
[02:07.77]Wachonganishi hao (hao hao)
[02:10.83]Wanawivu hao (hao hao)
[02:13.75]Wachonganishi hao (hao hao)
[02:17.59]Ukaanza safari, mchana juakali, usiku haulali ah yaya.
[02:24.42]Mwendaazimu kaingiaje
[02:26.42]Asije akitorondo
[02:27.86]Mwendaazimu kaingiaje
[02:29.29]Akanikatia na uhondo
[02:30.89]Mwendaazimu kaingiaje
[02:32.26]Kitorondo Kitorondo eeh
[02:34.16]Mwendaazimu kaingiaje
[02:35.62]Ikinasa mpaka uondoe
[02:37.00]Mwendaazimu kaingiaje
[02:38.73]Oooh Kitorondo
[02:40.40]Mwendaazimu kaingiaje
[02:41.76]Akanikatia na uhondo
[02:43.32]Mwendaazimu kaingiaje
[02:44.81](Ikawa nyumba ya shetani)
[02:46.77]Mwendaazimu kaingiaje
[02:49.00]
[02:54.60]…
[03:01.48]Mdogomdogo (isijali mama)
[03:05.09]Mdogomdogo (we wacha waongee)
[03:06.52]Mdogomdogo (usiku na mchana)
[03:08.20]Mdogomdogo (mpaka wanyongee)
[03:09.62]Mdogomdogo (na ntakupenda sana)
[03:11.21]Mdogomdogo (mahaba ninyongee)
[03:12.76]Mdogomdogo (sijali lawama)
[03:14.24]Mdogomdogo (acha wanizonge)
[03:16.06]Mdogomdogo (kachirikachiri)
[03:17.84]Mdogomdogo (kachiri we ngao yangu)
[03:19.81]Mdogomdogo (mwenzako taabani)
[03:21.01]Mdogomdogo (nilindie roho yangu)
[03:22.88]Mdogomdogo (wasije wa furani)
[03:24.09]Mdogomdogo (wakaiba tamu yangu)
[03:26.50]
[03:32.89]Mwenda wazimu kaingiaje
[03:36.20]Mwenda wazimu kaingiaje
[03:39.32]Mwenda wazimu kaingiaje
[03:42.35]Mwenda wazimu kaingiaje (mdogomdogo)
[03:46.02]Mwenda wazimu kaingiaje (mdogomdogo)
[03:48.92]Mwenda wazimu kaingiaje (mdogomdogo)
[03:51.97]Mwenda wazimu kaingiaje (mdogomdogo)