Be the first to rate this video
This song by Akothee was released on 10th November 2020
You know
Sina ujanja kwao
Umesha kinywa baba
Kwao sise(sisemi)
N you know macho yangu kwao jeuri sina baba
Kwako sihe(sihemi).
Eenhh wasijekuteka kiwembe.
Nami ukaniacha kizembe.
Wakati we shamba ni jembe.
U are my sweet love.
Kama upendo nyumba tujenge .
Ntakushonea shati kitenge.
Nyumban kwa mama side twende.u are my sweet love.
Imoro baby ogabiwee nyakaje
Imoro baby ogabiwee nyakajeee
Oooonnhh baby u are my sweet love.
Oonhh umy. Sweet love
Umy sweet love.
Twimbe kwa pamoja
Oonhh baby U are my ..sweet love.
U my sweet love baby u my sweet love.
Twimbe kwa pamoja
Skuiz upendo karabai.
Zinga upepo wasituzimie mama
Wakati fitina.
Binadamu u si unawajua.
Wengi walaghai.
Sije kesho wakaniibia changana.
Mwenyewe uwezo sina.
Nikabaki naugua.
Mangapi walishazusha tuzonge.
Mangapi wengi ni nyang'anye tongue.
Ooonhh mangapi yang kachinja na ng'ombe
Kikwapi cufandaa ulitishia hilizongee.
Aanhh kwanza pilipili Inawashia nn
Siri sirii yetu wena Mimi
Wawili wilii hivi wana nn binadamu bwanaaaaa
Kwanz pili pili inawasha nn
Siri sirii yetu we na mm
Wawili wili hivi wana nn binadamu bwanaaa
oonhh baby .my sweet love
Ur my sweet love oonnhh u my.